Mama Kikwete Awaasa Vijana Uzinduzi UWAMAKI

Na Anna Nkinda – Maelezo VIJANA wametakiwa kujiunga na vikundi vya kuweka akiba na kukopa ili kuchangia mawazo yao  na ubunifu na wakati huo huo wanajitengenezea mazingira ya kujiajiri kwani wengi wao wana elimu na ujuzi walioupata masomoni lakini wanakabiliwa na tatizo la ukosefu wa ajira. Rai hiyo imetolewa leo na Mke wa Rais Mama Salma Kikwete wakati akizindua Umoja wa Vikundi …