Uzazi Unavyowakatisha Maisha Halisi Wasichana…!

Na Anna Nkinda – Maelezo MSICHANA mmoja kati ya wanne wenye umri wa miaka 15 hadi 19 ni mjamzito au anamtoto idadi hii inawakilisha maisha yao halisi na kuonyesha kwamba kama jitihada za makusudi hazitachukuliwa wasichana wataendelea kukosa haki zao za msingi na kuzidi kuwa wategemezi. Hayo yamesema na Mke wa Rais Mama Salma Kikwete wakati akifungua mkutano wa kimataifa wa utafiti …