Bado Morogoro Hijatangazwa Fursa za Uwekezaji –Mkuu wa Mkoa

Na Andrew Chimesela, Morogoro MKUU wa Mkoa wa Morogoro Dk. Rajab Rutengwe amesema pamoja na kuwa Mkoa wa Morogoro una maeneo makubwa ya ardhi bado maeneo hayo hayajatumika ipasavyo na kushawishi wawekezaji kuja kuwekeza mkoani humo katika Sekta ya kilimo, Viwanda na Utalii. Dk. Rutengwe ameyasema hayo hivi karibuni wakati wa mazungumzo baina yake na Balozi wa Afrika ya Kusini …