Wamasai Walia na Uwekezaji Ngorongoro

  Kiongozi wa mila tarafa ya Ngorongoro, Augustino Pakai Olonyokei akizungumza na Meneja uendeshaji wa mtandao wa habari wa modewjiblog, Zainul Mzige aliyefika eneo hilo kwa ajili ya kuangalia miradi mbalimbali inayoendeshwa kusaidia jamii ya wafugaji wa kimasai hivi karibuni. KIONGOZI wa mila tarafa ya Ngorongoro Augustino Pakai Olonyokei ameitaka serikali kusimamisha uwekezaji katika Mamlaka ya Ngorongoro ili kupunguza shinikizo …

China Yatoa Mabilioni ya Fedha Kuwekeza Miradi Anuai Tanzania

*Maendeleo ya China ni Cachu….! TANZANIA na Jamhuri ya Watu wa China Oktoba 23, 2014, zimetiliana saini Hati za Makubaliano (Memorandum of Undestanding) ambako taasisi za China zitawekeza mabilioni ya dola za Marekani katika uchumi wa Tanzania. Shughuli hiyo ya utiaji saini imekuwa sehemu ya Mkutano wa Tatu wa Uwekezaji Kati ya Tanzania na China uliofanyika kwenye Ukumbi wa Mikutano …

JK Afagilia Kiwango cha Uwekezaji China

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete amesema kuwa anafurahishwa na kiwango cha uwekezaji wa makampuni ya Jamhuri ya Watu wa China katika uchumi wa Tanzania ambao hadi mwishoni mwa mwaka jana ulikuwa umefikia miradi 522 yenye thamani ya dola za Marekani 2,490.21 milioni (dola bilioni 2.5). Rais Kikwete amesema kuwa kiwango hicho kinaufanya uwekezaji wa China katika …

Serikali Yawataka Wananchi Kuwekeza Katika Miradi ya Gesi

Na Aron Msigwa – MAELEZO SERIKALI imewasisitiza wananchi hususan wafanyabiashara nchini kuwekeza katika utoaji wa huduma mbalimbali za kijamii katika maeneo yote yenye miradi ya gesi nchini. Kauli hiyo imetolewa jana usiku jijini Dar es salaam na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue wakati wa hafla ya uzinduzi wa kitabu kilichoandikwa na Mtanzania Bi. Neema Lugangira Apson chenye maudhui ya namna …