Mkuu wa Mkoa Mwanza Awafunda Vijana UVCCM Nyamagana

      Mongela amewataka vijana kubuni njia mbalimbali halali za kuwaingizia kipato ikiwemo ujasiriamali badala ya kukaa bila kazi huku wakijivunia kuwa kwenye vyama vya siasa.   Amesema ni vyema wanaoingia kwenye siasa wakahakikisha wana shuguli za kufanya ambapo amewasihi wajasiriamali wakiwemo Machinga kuwa tayari kufanya biashara zao katika maeneo yaliyoainishwa na kwamba watakaotii hilo, watanufaika moja kwa moja …

JK Ashiriki Mahafali ya Wanafunzi Vyuo Vikuu CCM 2016 Dar

 Vijana vyuo vikuu Dar es Salaam wakiserebuka katika mahafali yao.  Vijana hao wakiendelea kuserebuka katika mahafali ya 2016 ya Shirikisho la wanafunzi wa vyuo vikuu wa CCM.  Hapa ni furaha kwa kwenda mbele katika mahafali ya 2016 ya Shirikisho la wanafunzi wa vyuo vikuu wa CCM . Ni kama wanasema’  Hapa ni ushindi tu 2020 kwani vijana tumejipanga. Vijana wakiwa kwenye hafla ya …

Katibu UVCCM Awananga Wapinzani

Na Woinde Shizza, Same WABUNGE wa upinzani wametakiwa kuwatetea wananchi, kutatua kero zao pamoja na kuwawakilisha vyema wanapokuwa bungeni na sio kutoka nje ya Bunge hata kwa mambo ya siyokuwa na msingi. Hayo yamebainishwa na Kaimu Katibu Mkuu wa UVCCM Taifa, Shaka Hamdu Shaka wakati akiongea na wananchi wa wilaya ya Same katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika uwanja wa …

UVCCM Arumeru Wamdindia Mwenyekiti UVCCM Mkoa Arusha

    Na Woinde Shizza, Arusha BARAZA la Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) wilaya ya Arumeru limelaani kitendo cha Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Arusha, Lengai Sabaya kumsimamisha Kamanda wa Umoja wa Vijana wa UVCCM wilaya ya Arumeru, Mathias Manga kwa kile kuisaliti CCM katika uchaguzi mkuu wa mwa Oktaba 25 mwaka jana. Baraza hilo limelaani tamko lililotolewa wiki iliyopita na …

Ziara ya Kinana wa CCM Wilayani Karagwe…!

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, akishuka kutoka kwenye katapila baada kuliendesha wakati wa kazi ya kusawazisha shamba la kupanda miwa alipotembelea mashamba ya miwa ya Kiwanda cha Sukari cha Kagera, wilayani Misenyi, Kagera, akiwa katika ziara ya kuimarisha uhai wa chama, kukagua utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi pamoja na kusikiliza kero za wananchi na kuzitafutia ufumbuzi. Katibu wa Itikadi …