SERIKALI imewataka wachimbaji na wanunuzi wa madini ya Tanzanite nchini, kuacha tabia ya Utoroshaji wa madini hayo nje ya nchi huku, ikiagizwa kuachwa kuuzwa madini ghafi. Katika kudhibiti biashara hiyo, serikali kwa kushirikiana na kituo cha mikutano cha Arusha(AICC) inakusudia kuanzisha kituo cha kisasa cha kimataifa cha ukataji wa madini hayo na kuuzwa nje. Waziri wa Nishati na Madini, George Simbachawene alitoa wito huo, wakati akifungua maonesho …