RC Katavi Aagiza Waliokimbia Sekondari 2014 Warejeshwe

Na Kibada Ernest Kibada, Katavi MKUU wa Mkoa wa Katavi Dk. Ibrahimu Msengi ameagiza wanafunzi wote waliohitimu Elimu ya Msingi mwaka 2014 na kuchaguliwa kujiunga na Elimu ya Sekondari waripoti katika shule walizopangiwa kuhudhuria masomo yao. Alitoa kauli hiyo katika hotuba yake iliyosomwa kwa niaba yake na Mkuu wa Wilaya ya Mlele, Kanali Mstaafu Issa Seleman Njiku wakati akifungua kikao …