JK Apinduwa Tena Wakuu wa Wilaya, Amteuwa Mmoja

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete amefanya mabadiliko tena ya wakuu wa wilaya nchini ikiwa ni pamoja na kumteua Anthony Peter Mavunde kuwa Mkuu wa Wilaya ya Mpwapwa, Mkoa wa Dodoma, kuanzia Mei 25, 2015. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais, Ikulu kwa vyombo mbalimbali vya habari jana jijini Dar es Salaam, …

Rais Kikwete Apangua Ma-DC, 12 Wapigwa Chini, Watano Waula…!

RAIS wa Tanzania, Dk. Jakaya Kikwete, amefanya mabadiliko ya Wakuu wa Wilaya ikiwa ni pamoja na kutengua uteuzi wa Wakuu wa Wilaya 12 na kuwapangia majukumu mengine wakuu wa wilaya 7. Taarifa imesema mabadilio hayo ameyafanya ili kuboresha utendaji kazi na pia kwa kuzingatia kuwepo kwa nafasi wazi ishirini na saba za wakuu wa wilaya kutokana na sababu mbalimbali. Wakuu …