Rais Kikwete Akagua Utayari wa Tanzania Kukabiliana na Ebola

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete, Septemba 9, 2014, alikagua huduma na vifaa, pamoja na maandalizi ya kukabiliana na ugonjwa hatari wa Ebola, ili kujiridhisha na utayari wa Tanzania dhidi ya tishio kubwa la ugonjwa huo. Mara tu baada ya kutua Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam, akitokea Dodoma, Rais Kikwete amekwenda …