JK Atoa Dawa ya Utatuzi Matatizo Chuo Kikuu Rutgers

Na Premi Kibanga, New York – Marekani USHIRIKI wa Mataifa mbalimbali duniani katika maendeleo na utatuzi wa matatizo yanayozikumba nchi hizo, ndiyo njia kuu na ya kipekee katika karne ya leo ya kukabiliana na changamoto zake. Rais Jakaya Mrisho Kikwete amesema hayo Septemba 26, 2014 katika Chuo Kikuu cha Rutgers, katika mji wa New Jersey, nchini Marekani. “Matatizo mengi yanayoikabili …