KWA mujibu wa Balozi wa Denmark nchini Tanzania, Johnny Flentoe, amesema kwamba Tanzania inautajiri mkubwa wa kiutamaduni ambao unaweza kutumiwa kuchangia pato la taifa GDP. “Bado tasnia ya sanaa na ubunifu ambayo ingeliweza kuchangia katika uchumi na kuwapatia kazi vijana haijatumika ipasavyo. Kutokana na hilo kipaumbele cha programu hii mpya ni kuwezesha vijana kutumia sanaa na ubunifu kukuza ajira,” anasema balozi Johnny Flentoe. Mshairi Jasper Sabuni …
Tamasha la Handeni Kwetu Lawalilia Wadhamini
Na Mwandishi Wetu, Handeni WADAU wa mambo ya utamaduni yakiwamo mashirika, makampuni na watu mbalimbali wameombwa kujitokeza kuliwezesha tamasha la Handeni Kwetu 2014, lililopangwa kufanyika Desemba 13 mwaka huu wilayani Handeni, mkoani Tanga. Tamasha hilo linafanyika huku mwaka jana likiwezeshwa kwa kiasi kikubwa na Shirika la Mfuko wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) kwa ushirikiano na wadau mbalimbali walioliwezesha tamasha …
Tamasha la Handeni Kwetu Kufanyika Desemba 13
Na Mwandishi Wetu, Dar TAMASHA kubwa la umataduni linalojulikana kama ‘Handeni Kwetu’ limepangwa kufanyika Desemba 13 mwaka huu, katika Uwanja wa Azimio, wilayani Handeni, mkoani Tanga. Katika tamasha hilo linalofanyika kwa mara pili, burudani mbalimbali za ngoma za asili zinatarajiwa kuonekana jukwaani, ambapo pia vikundi kutoka nje ya Handeni, mkoani Tanga navyo vitaalikwa kwa ajili ya kwenda kutoa burudani wilayani …
Wabunge EALA Watembelea Taasisi ya Sanaa, Utamaduni Bagamoyo
Na Eleuteri Mangi – MAELEZO WABUNGE wa Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki (EALA) wakiongozwa na Spika wa Bunge hilo Dk. Margaret Zziwa wametembelea Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSUBa) kujionea vitu mbalimbali vilivyomo ndani ya taasisi hiyo ya mjini Bagamoyo. Spika wa Bunge la EALA, Dk. Zziwa pia alipewa heshima ya kupanda mti aina ya mtiki ikiwa ni …