WAZIRI wa Maliasili na Utalii Profesa Jumanne Magembe amewapongeza waandishi wa habari kwa mchango wao kuendelea kutangaza utalii nchinikupitia vyombo vyao, na kuwaomba waendelee na uzalendo huo kwani kitendo hicho ni faida kwa taifa zima. Pongezi hiyo ameitoa leo jijini Tanga alipokuwa akifungua semina ya mwaka kwa wahariri na wanahabari waandamizi iliyoandaliwa …
Wanafunzi UDSM Wahamasisha Utalii wa Ndani…!
Mnyama Ngiri akiwa amejipumzisha kwenye tope kama alivyokutwa na kamera yetu Baadhi ya Wanafunzi wa Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam (UDSM) wamefanya ziara ya siku mbili ya kitalii katika hifadhi ya taifa ya Saadani pamoja na sehemu ya kihistoria ya Kaole iliyopo Bagamoyo ikiwa ni sehemu ya kujifunza pamoja na kuhamasisha utalii wa ndani. Wanafunzi hao kutoka katika “Collage” tofauti tofauti ikiwemo utalii …
Baadhi ya Wanahabari Tanzania Watembelea Utalii Zimbabwe
Mhudumu wa Mapango ya Chinhoyi Cephas Sithole akitoa maelezo kwa timu ya waandishi wa habari waliombatana na wadau wa utalii kutoka nchini Afrika Kusini kwenye ziara hiyo ya kutembelea vivutio vya utalii nchini Zimbabwe katika mapango Chinhoyi. WAANDISHI wa habari kutoka vyombo 5 vya habari vya magazeti ya Tanzania ikiwemo mtandao wa habari wa Modewjiblog ambao ni Justin Damiana (The …
Vyungu Hivi ni Zaidi ya Utalii Wilayani Mufindi, Iringa
Mmiliki wa mtandao huu mzee wa matukiodaima juu akiwa amejitwisha kichwani kiatu cha asili kilichotengenezwa kwa udongo ambacho kinauzwa kati ya Tsh 160,000 kwa kimoja na pea moja ni Tsh 320,000 kiatu hiki ni moja kati ya vivutio vya utalii katika wilaya ya Mufindi mkoani Iringa vinavyotengenezwa eneo la Rungemba na kuvutia watalii wa ndani na nje Baadhi ya vifaa …
Mkoa wa Mbeya Kuboresha Miundombinu Kuvutia Utalii…!
Wanahabari wakitazama Kimondo Mwanahabari wa Gazeti la Habari Leo Iringa na Mwenyekiti wa Chama cha Waandishi wa Habari Mkoa wa Iringa Frank Leonard akitoka kutazama Kimondo Mgeni akisaini kitabu cha wageni katika ofisi ya makumbusho ya mambo ya kale ya Kimondo Mbeya Mhifadhi akionyesha jiko ambalo linatumika eneo hilo Nyumba ya wahifadhi wa makumbusho ya mambo ya kale ya Kimondo …
Ufaransa Yakubali Kuitangaza Zanzibar Kiutalii
Na Rajab Mkasaba, Ikulu Zanzibar UFARANSA imeahidi kuitangaza Zanzibar kiutalii nchini mwake kupitia makampuni yake makubwa ya kitalii yaliopo nchini humo sambamba na kuendelea kuziunga mkono sekta nyengine za maendeleo za hapa nchini. Balozi mpya wa Ufaranza nchini Tanzania, Malika Berak aliyasema hayo wakati alipofanya mazungumzo na Rais wa Zanzibar na Mwemyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, …