Mafunzo ya Wasimamizi, Wahariri na Wadadisi wa Utafiti wa Afya ya Mama na Mtoto

Mkurugenzi wa Kinga kutoka Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii,Neema Rusibamanyila akizungumza wakati wa ufunguzi wa mafunzo ya wasimamizi,wahariri na wadadisi wa utafiti wa afya ya mama na mtoto na Maralia yanayofanyika kwa siku 36 katika ukumbi wa YMCA mjini Moshi. Baadhi ya wauguzi wanaoshiriki mafunzo hayo yanayofanyika katika ukumbi wa YMCA mjini Moshi. Mwakilishi wa Mkurugenzi mkuu wa …

Serikali Kuendelea Kuwekeza Kwenye Utafiti na Ubunifu

Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi inayojishughulisha na Utafiti wa Sayansi ya Jamii (REPOA), Profesa Samuel Wangwe akitoa hutuba  mbele ya Rais Jakaya Kikwete wakati wa uzinduzi wa kongamano hilo. Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia, (COSTECH), Dk.Hassan Mshinda akizungumza katika uzinduzi huo. Rais Jakaya Kikwete (katikati), akiwa meza kuu na viongozi wengine. Kulia ni Waziri wa Sayansi …