Naibu Waziri Fedha na Mipango Dk. Kijaji Aibana TRA Mbeya

Baadhi ya waandishi wa Habari Mkoani Mbeya wakiwa makini kumsikiliza Naibu waziri wa Fedha na Mipango Dkt Kishatu Kijaji katika ofisi za Mamlaka ya Mapato TRA Mkoani humo kwa lengo la kutoa tathimini yake ya ziara aliyoifanya katika Mpaka wa Tunduma na Zambia .  Na Jamiimojablogu, Mbeya NAIBU Waziri wa Fedha na Mipango Dk. Ashatu Kijaji ameitaka Mamlaka ya Mapato TRA Mkoa wa …