Sweden Kuendelea Kukuza Ushirikiano na Tanzania

Na Premiere Kibanga, Stockholm, Sweden NCHI ya Sweden imedhamiria kuukuza ushirikiano wake na Tanzania kwa Awamu mpya ambayo itaongeza uwekezaji na biashara zaidi. Rais na Mtendaji Mkuu wa Muungano wa wafanyabiashara wa Sweden, Business Sweden, Bi Ylva Berg amemueleza Rais Kikwete katika mkutano wa Business Sweden na Rais Kikwete, Juni 5, 2015 katika Kituo cha Biashara (World Trade Centre) jijini …