Watafiti Umasikini Katika Kaya Watakiwa Kupewa Ushirikiano

Na Mwandishi Wetu – Morogoro SERIKALI imewataka wananchi na viongozi wa maeneo mbalimbali nchini kuhakikisha kuwa wanatoa ushirikiano kwa wadadisi kutoka Ofisi ya Taifa ya Takwimu watakaoendesha zoezi la utafiti wa ukusanyaji wa takwimu za kufuatilia hali ya umasikini katika kaya kwa mwaka 2014/2015, utaokaofanyika kuanzia Oktoba mwaka huu. Kauli hiyo imetolewa leo mkoani Morogoro na Naibu Waziri wa Fedha – …