*Wataja visababishi vitano vya ajali MTANDAO wa wadau kutoka asasi za kiraia unaotetea marekebisho ya sheria na sera ihusuyo usalama barabarani Tanzania siku ya tarehe 26 na 27 Januari, 2017 wamefanikiwa kukaa na baadhi ya wabunge kutoka kamati ya mambo ya nje, Ulinzi na usalama, Katiba na sheria pamoja na miundo mbinu katika kikao kilichoongozwa chini ya mwenyekiti wake …
Makosa ya Watumiaji Barabara Yanavyoatarisha Maisha ya Watumiaji Wengine
Mwendesha bodaboda pamoja na abiria wake akitumia barabara eneo lisilo sahihi jambo ambalo ni hatari kwa watumiaji wengine. Pamoja na hayo dereva huyu na abiria wake hawajavaa kofia ngumu jambo ambalo ni kosa lingine kisheria.
Kikosi cha Usalama Barabarani Wazinduwa Kampeni ya Abiria Paza Sauti…!
Na Dotto Mwaibale MKUU wa Kikosi cha Usalama Barabarani nchini, Naibu Kamishna wa Polisi, Mohamed Mpinga amesema kila mwananchi anawajibu kuzuia ajali za barabarani badala ya kudhani kazi hiyo ni ya polisi pekee. Mpinga alitoa kauli hiyo wakati wa uzinduzi wa kampeni ya Abiria Paza Sauti iliyozinduliwa Stendi Kuu ya Mabasi Ubungo jijini Dar es Salaam leo …
Suala la Usalama Barabarani si Jukumu la Kikosi cha Usalama Barabarani…!
Gianluca Azzon Mwakilishi wa EU Nchini Tanzania akiwasilisha mada katika warsha ya waandishi wa habari ya kupunguza ajali na vifo vinavyotokana na ajali za barabarani iliyoandaliwa na shirika lisilo la kiserikali la AMEND na kufadhiliwa na Jumuiya ya Umoja wa Ulaya EU warsha hiyo imefanyika kwenye jengo la Umoja House jijini Dar es salaam. Tom Bishop kutoka shirika lisilo la …