Safari za Anga Kuimarika, Rada Sita Kununuliwa…!

  WAZIRI wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa amesema Serikali iko katika hatua za mwisho za kutangaza zabuni kwa ajili ya ununuzi wa rada sita za kisasa kwa ajili ya kuboresha usimamizi na ufuatiliaji wa safari za anga hapa nchini. Prof. Mbarawa amesema hayo mjini Unguja mara baada ya kukagua shughuli zinazofanywa na Mamlaka ya Usafiri wa Anga …

Nauli za Usafiri wa Ndege Sasa Kushuka

  IMEELEZWA kuwa gharama kubwa za usafiri wa anga nchini zitapungua pale Serikali itakapoliwezesha Shirika la ndege Tanzania (ATCL), kuwa na ndege zake. Akizungumza mara ya kukagua kiwanja cha ndege cha Nduli Mkoani Iringa Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa amesema kwa mwaka wa Fedha 2016/17 kiasi cha bilioni 500 kimetengwa kwa ajili ya ununuzi wa ndege …