Angalia Mitindo Ndani ya V. I. P. Reception Awards Gala…!

  Warembo wakiwa katika picha ya pamoja siku ya Jumamosi March 11, 2017 Fairfax, Virginia kwenye V.I.P. Reception Awards Gala iliyohudhuriwa na Balozi wa Kenya nchini Marekani Mhe. Robinson Njeru Githae. Mwanamitindo nguli wa kimataifa Asya Idarous Khamsin akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Kenya nchini Marekani Mhe. Robinson Njeru Githae    Mrembo akiwa katika vazi la mwanamitindo …

Ujue Urembo Bila Vipodozi, Yajue Manufaa ya Kula Vyakula ‘Vibichi’

NDIVYO. Hii haina mjadala kabisa. Kama ukisikia moto huharibu vyakula katika mapishi basi kinyume chake ni kuwa ukila vyakula visivyopikwa utakuwa umegeuza mambo na utakuwa umeupa mwili wako vitu adimu sana kwa maisha yetu ya leo ambayo bila moto watu hawakai mezani. Unapozungumzia urembo basi ujue unagusa mambo matatu: yaani utulivu wa akili, mwili na roho pia. Unapokula vyakula visivyopikwa …

Happiness Watimanywa Ahaidi Kufanya Vizuri Uingereza

Na Benedict Liwenga, Maelezo-DSM   MREMBO wa Tanzania wa mwaka 2013, Happiness Watimanywa ameahidi kuing’arisha Tanzania katika mashindano ya ulimbwende ya Dunia yatakayofanyika mapema mwezi ujao huko nchini Uingereza.   Akiongea na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam, mlimbwende huyo amewaeleza waadishi kuwa, kutokana na uzoefu wa kazi zake alizokuwa akifanya kwa jamii kwa muda kipindi cha mwaka …