Mwigulu Aomba Urais, Ataja Vipaumbele, Alibeba Zege…!

Na Joachim Mushi KADA wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Mbunge wa Jimbo la Iramba Magharibi, Mwigulu Lameck Nchemba leo ametangaza nia ya kugombea urais wa Tanzania kupitia chama chake, huku akieleza vipaombele vyake endapo atafanikiwa kupewa ridhaa hiyo na chama na baadaye wananchi kwenye uchaguzi Mkuu Oktoba 2015. Mwigulu ambaye ni Naibu Waziri Wizara ya Fedha alionekana kujenga hoja …