Shule za Msingi Zinaupungufu wa Madawati Milioni Moja – Pinda

  WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amesema shule za msingi hapa nchini zinakabiliwa na upungufu wa madawati karibu milioni moja na nusu ameitaka Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi ijifunge mkanda na kulipa kipaumbele suala la kupunguza tatizo hilo.   Ametoa agizo hilo Jumamosi, Mei 3, 2014 wakati akiwahutubia mamia ya wakazi wa Mkoa wa Dodoma ambao walihudhuria uzinduzi wa …