RASILIMALI za Afrika zenye utajiri mwingi zinatoa nafasi ya kipekee ya ufanisi katika uimarishaji wa maisha ya raia wa Afrika, yasema ripoti mpya kubwa iliyozinduliwa leo na Kofi Annan, Katibu Mkuu wa zamani wa Umoja wa Mataifa, lakini mara nyingi sana rasilimali hizi huporwa na maafisa wafisadi pamoja na wawekezaji wa kigeni. Aidha, Ripoti hii inaonyesha kwamba kuongezeka kwa ukosefu …