Uporaji Fedha za Escrow Waziri Mkuu Pinda Atakiwa Kujiuzulu

*Mwanasheria Mkuu, Waziri wa Nishati na Katibu wake kuwajibishwa HATIMAYE Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), imewasilisha bungeni ripoti ya uchunguzi wa uporaji wa takribani bilioni 306 zinazodaiwa kuchotwa katika akaunti ya Tegeta Escrow zikiwemo fedha za Seriali ya Tanzania, huku ikitoa mapendekezo Waziri Mkuu wa Tanzania ajiuzulu kwa kushindwa kutekeleza majukumu yake. Akiwasilisha taarifa ya Kamati ya …