Wananchi na wakazi wa Tabata Shule wakiangalia majina yao kabla ya kupiga kura yao. Wananchi na wakazi wa maeneo ya Tabata Liwiti wakiwa katika foleni ya kupiga kura leo jijini Dar es Salaam. Mkazi wa eneo la Matumbi akipiga kura yake leo. Mkazi wa Kawe akipiga kura yake leo. Na Joachim Mushi, Dar es Salaam WAKAZI wa maeneo mbalimbali ya …