UGONJWA wa mishipa ya moyo (CAD) ni aina ya ugonjwa wa moyo unaowakumba wengi, huongoza kusababisha vifo kwa wengi ikiwemo wanawake na wanaume. Ugonjwa hutokea wakati mishipa ya ateri inayosambaza damu kwenye misuli ya moyo inapokakamaa na kuwa nyembamba. Hii ni kwa sababu ya kujengeka kwa kolesteroli na vitu vingine kama utando kwenye kuta za ndani ya moyo. Kujijenga huku …
Mabadiliko Katika Upasuaji
SEKTA ya afya duniani imeshuhudia mapinduzi yanayolenga kuongeza umri wa kuishi, ubora wa maisha, njia mbadala za uchunguzi, njia bora za matibabu, na pia ufanisi na ubora katika huduma za afya. Teknohama imekuwa na mchango mkubwa sana katika maendeleo ya ndani ya sekta hii muhimu. Makampuni yanayohusika na kutengeneza vifaa vya tiba hivi sasa yanalenga katika kutengeneza roboti ambazo hufanya …
Rais Kikwete Afanyiwa Upasuaji Marekani…!
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete, Novemba 8, 2014, alifanyiwa upasuaji wa tezi dume (prostrate) katika Hospitali ya Johns Hopkins iliyoko Baltimore, Jimbo la Maryland, Marekani. Rais Kikwete amefanyiwa upasuaji huo baada ya madaktari waliomfanyia uchunguzi wa afya yake kujiridhisha kuwa Rais alikuwa anahitaji matibabu ya aina hiyo. Upasuaji huo uliofanyika alfajiri na kuchukua kiasi cha …