Vijana Mwanza Wapewa Semina Juu ya Unyanyasaji wa Kijinsia

Mwandishi Wetu, Mwanza MWANAHARAKATI wa Shirika la Kutetea Haki za Wanawake la KIVULINI jijini Mwanza, Bi. Khadija Liganga ametoa mafunzo kuhusu Unyanyasaji wa kijinsia na ukatili dhidi ya watoto kwa vijana takribani 100 wa Jiji la Mwanza ikiwa ni hatua za kuwajenga vijana katika misingi ya kuachana na mila, tamaduni na dhana potofu zinazowakandamiza wanawake na watoto katika jamii. Semina …