Polisi Mbeya Yamshikilia Baba Aliyetelekeza Mtoto Wake Mlemavu

Na Emanuel Madafa, Mbeya JESHI la Polisi kupitia dawati la jinsia na watoto linamshikilia Baba mzazi wa kijana mwenye tatizo la ulemavu wa viungo na akili, Emanuel Fedrick iambaye alifungiwa ndani kwa zaidi ya miaka 11 na wazazi wake. Kijana huyo, mwenye umri wa miaka 20, Fredrick Emmanuel Mkazi wa Mwambeja Kata ya Iganjo jijini hapa amekuwa akiishi ndani bila …

UNESCO Yaahidi Kupambana na Unyanyasaji wa Albino Tanzania

Kiongozi wa ofisi na mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) nchini, Zulmira Rodrigues (kulia) akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Magesa Mulongo (kushoto) alipomtembelea ofisini kwake jijini Mwanza akiwa ameambatana na Mbunge wa Viti Maalum CCM, anayetetea maslahi ya watu wenye albinism, Mh. Al-Shaymaa Kwegyir (wa pili kulia) pamoja na Semeni Kingaru …