Tanzania Wapongezwa Kupunguza Vifo vya Wajawazito na Watoto

Na Joachim Mushi, Dar es Salaam TANZANIA inajivunia mafanikio makubwa ya kupunguza idadi ya vifo vya wajawazito pamoja na idadi ya watoto chini ya miaka mitano wanaopoteza maisha kila mwaka. Mafanikio hayo yameifanya Tanzania kutolewa mifano kimataifa ikiwa ni kati ya nchi zilizovuka malengo ya kupunguza idadi hiyo vifo iliyojiwekea kuzifikia. Kauli hiyo imetolewa na Katibu Mkuu wa Vizara ya …

UNFPA, UNICEF, Wakunga Tanzania Wapinga Ukeketaji

UNFPA, UNICEF, Shirikisho la Kimataifa la Wakunga na Shirikisho la Kimataifa la Magonjwa ya Wanawake na Uzazi. Wito kwa wafanyakazi wa afya duniani kote ili kuhamasisha kukomesha ukeketaji Kwa mwaka 2015, ujumbe wa kimataifa wa siku ya kupinga ukeketaji umewalenga wahudumu wa afya; “Uhamasishaji na ushirikishwaji wa wafanyakazi wa Afya ili kuharakisha kutokomeza ukeketaji”. Na hii ni kwa sababu asilimia 34 …