UNESCO Yakutanisha Wadau Kujadili Uchafu Kwenye Maji

  ILI kuhakikisha kunakuwa na usalama wa maji duniani kutokana na kuwepo kwa idadi kubwa ya vifo ambavyo vinatokana na uchafu katika maji, Shirika la Umoja wa Mataifa linalohusika na Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) limefanya kongamano la siku moja ambalo limewakutanisha viongozi wa idara za maji za mikoa mbalimbali nchini na kutoka nje ya nchi. Katika kongamano hilo mgeni …

UNESCO na Kongamano Kujadili Mpango wa Maendeleo Sekta ya Elimu

  KONGAMANO lililoandaliwa na Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) kwa kushirikiana na Wizara ya Elimu, Sayansi, Teknolojia na Mafunzo ya Ufundi limemalizika jana jijini Dar es Salaam baada ya kupitisha vipaumbele ambavyo vitatumika katika Mpango wa Maendeleo katika Sekta ya Elimu (ESDP) kwa miaka mitano kuanzia 2017 – 2021. Akizungumza Mkurugenzi wa Sera na Mipango …

UNESCO Kuhakikisha Wananchi Wanakuwa na Uwezo wa Kuvumbua

Ofisa Miradi ya Mawasiliano, Habari na Tehama wa Shirika la Kimataifa la Sayansi, Elimu na Utamaduni (UNESCO) nchini, Al Amin Yusuph, akielezea mantiki ya warsha ya wadau wa elimu kuhusu viwango vya umahiri wa Tehama kwa wakufunzi wa vyuo vya ualimu Tanzania iliyofanyika mjini Bagamoyo, mkoa wa Pwani mwishoni mwa juma. Na Mwandishi Wetu, Bagamoyo SHIRIKA la Umoja wa Mataifa …

UNESCO Kutekeleza Mradi Kuinua Bidhaa za Kimasai

Na Joachim Mushi, Ngorongoro SHIRIKA la Kimataifa la Sayansi, Elimu na Utamaduni (UNESCO) nchini Tanzania linatarajia kutekeleza mradi wa ujenzi wa kituo cha sanaa ikiwa ni pamoja na kutoa mafunzo ya ujasiliamali wa bidhaa zinazotokana na mifugo kwa akinamama na wasichana kutoka Kata tano za Wilaya ya Ngorongoro kama jitihada za kuongeza kipato kwa familia za jamii ya Wamasai. Akitoa …

Viongozi wa Kimasai Waridhia Kuacha Ukeketaji Mbele ya UNESCO

Viongozi wa Kimasai Waridhia Kuacha Ukeketaji Na Joachim Mushi, Ngorongoro VIONGOZI wakuu wa jamii ya Kimasai wa Afrika Mashariki wameridhia kuachana na mila potofu zimezopitwa na wakati ikiwemo vitendo vya ukeketaji kwa wasichana wa jamii ya kimasai ambavyo vimekuwa vikiwaathiri wasichana hao kwa kiasi kikubwa. Kauli ya kusitisha vitendo hivyo ilitolewa juzi Wilayani Ngorongoro na Kiongozi Mkuu wa Jamii ya …

Dunia Haiwezi Kuwepo Bila Uwepo wa Bahari – UNESCO

DUNIA endelevu haiwezi kuwapo kama hakutakuwepo na bahari yenye kuendeleza uhai. Miezi michache kabla ya kufanyika kwa kongamano la kihistoria la COP21 (21st Conference of the Parties to the United Nations Framework Convention on Climate Change) la kutengeneza ajenda mpya ya maendeleo endelevu, ujumbe huu ulikuwa hauna tija. Lakini sasa ujumbe huu una tija sana na muhimu sana. Iwe nchi …