NAIBU Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu) Antony Mavunde ametaka kuondolewa kwa changamoto maeneo ya kazi ili kazi isaidie maendeleo ya binadamu badala ya kujikimu. Naibu Waziri huyo alitoa kauli hiyo wakati akizungumza na waandishi wa habari baada ya kuzindua ripoti ya maendeleo ya binadamu ya mwaka 2015 inayoelezea kazi kwa maendeleo ya binadamu. …
UNDP Yataka TAMISEMI Kuwezesha Zaidi Wananchi
Na Mwandishi Wetu, Bagamoyo MRATIBU Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) nchini Tanzania Alvaro Rodriguez ametaka serikali kupitia Wizara ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) kuwezeshwa zaidi ili kuweza kuwatumikia wananchi. Aliyasema hayo wakati alipozuru kijiji cha Chasimba mwishoni mwa juma akiwa na Balozi wa …
UNDP, Waziri Chikawe Watembelea Kambi ya Muda ya Wakimbizi Kigoma
Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo (UNDP), Alvaro Rodriguez (wa pili kushoto) akiongozana na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mh. Mathias Chikawe (wa tatu kushot0) pamoja na Mkurugenzi wa Idara ya huduma za Wakimbizi wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Harrison Mseke (katikati), Mwakilishi wa Shirika la Umoja …
UNDP Yashauri Serikali Itumie Gesi Kulinda Hifadhi ya Jamii
Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa,na Mwenyekiti wa mkutano mkubwa wa kimataifa wa hifadhi ya jamii ulioandaliwa na serikali ya Tanzania kupitia Wizara ya Fedha, Aggrey Mwanri, akiendesha shughuli za mkutano huo uliomalizika hivi karibuni katika kituo cha kimataifa cha mikutano cha Arusha (AICC). MTAALAMU mmoja wa masuala ya uchumi anayefanyakazi na Shirika …
UNDP Watembelea Mradi wa Mazingira Kinukamori Enterprises
Mkurugenzi Mtendaji wa EWP na Mkurugenzi wa Kinukamori Enterprises, Bw. Alpha Phares Moshi (wa pili kushoto) akimkaribisha Mratibu Mkazi wa Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa Shirika la maendeleo UNDP, Alvaro Rodriguez alipowasili kwenye Taasisi isiyo ya kiserikali inayo shughulika na uhifadhi wa mazingira eneo la Kinukamori, Marangu mkoani Kilimanjaro wakati wa ziara yake ya kukagua miradi mbalimbali inayofadhiliwa na …
Tanzania Yajivunia Kufikia Malengo ya Milenia
Na Mwandishi Wetu KATIBU Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, John Haule amesema serikali ya Tanzania imefikia kwa kiwango kikubwa baadhi ya malengo ya milenia ya afya na elimu. Akizungumza ofisini kwake jijini Dar es Salaam baada ya kumaliza mkutano na wanahabari juu ya wiki ya Umoja wa Mataifa inayotarajiwa kuanza Ijumaa wiki hii, Haule …
- Page 1 of 2
- 1
- 2