Mkutano wa Amani, Umoja na Utulivu Tanzania…!

Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere, Joseph Butiku akizungumza katika mkutano wa siku mbili wa mashauriano kuhusu amani, umoja na utulivu wa nchi yetu. Mkutano huo ulioandaliwa na Taasisi ya Mwalimu Nyerere (MNF), ulifanyika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNICC), Dar es Salaam asubuhi.  Brigedea Jenerali mstaafu, Francis Mbena akihutubia kwenye mkutano huo.  Viongozi mbalimbali wakiwa …