Waziri Ataka Vituo Vinavyotoa Huduma ya Afya Holela Kushughulikiwa

Na Beatrice Lyimo- Maelezo WAZIRI wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu ameyataka Mabaraza na Bodi za kitaalamu za masuala ya afya kuchukua hatua za kinidhamu dhidi ya wataalam na vituo vinavyotoa huduma za afya kinyume cha Sheria. Waziri Ummy ametoa agizo hilo alipokuwa akizindua Baraza la Optimetria, Baraza la wataalamu wa Radiolojia pamoja na Bodi …

Waziri Ummy Mwalimu Siku ya Kwanza Ofisini

Gari la Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu likiwasili Makao Makuu ya wizara hiyo na kupokelewa kwa saluti mara tu baada ya kuapishwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli katika sherehe zilizofanyika leo Ikulu jijini Dar es Salaam. Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, …

Ummy Mwalimu Asimamia Sheria Mazingira Kinondoni

Hussein Makame – MAELEZO NAIBU Waziri wa Ofisi ya Makamu wa Rais, Ummy Mwalimu amewataka watendaji wa Kata za halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni kusimamia utekelezaji wa sheria na kanuni za kusimamia mazingira kwani kufanya hivyo watafanikiwa katika kutunza mazingira ya halmashauri hiyo. Naibu Waziri Mwalimu ameyasema hayo wakati alipofanya ziara katika Halmashauri ya Kinondoni jijini Dar es Salaam leo …