Benki ya Dunia ‘Yalia’ na Mauaji ya Albino Tanzania

Na Sixmund J. Begashe WATANZANIA wamehusiwa kuwapenda watu wenye ulemavu wa ngozi kama albino, na kuachana kabisa na imani putofu kuwa viungo vya watu hao vinaweza kuwapatia bahati katika maisha yao, kama inavyoaminika kwa baadhi ya watu waovu hapa nchini. Wito huu umetolewa na Mkurugenzi Mkaazi wa Benki ya Dunia hapa nchini, Bella Bird alipotembelea Makumbusho ya Taifa kujionea onesho …

Ulemavu wa Kuzaliwa Tatizo Kubwa kwa Watoto Duniani

WATOTO huchukuliwa kama taifa la kesho duniani kote hivyo basi kuwapatia huduma ya afya sahihi lazima ipewe kipaumbele . Mahitaji ya afya ya watoto ni ya kipekee sana, na ya tofauti sana ukilinganisha na watu wazima kwahiyo yanahitaji bidii sana. Mara kwa mara kumekuwepo matukio kadhaa ya kuzaliwa kabla wa wakati, uzito mdogo wa kuzaliwa, mtoto kuzaliwa na kisukari, pumu, …