Wanachama wa Ukonga Shule ya Msingi Wakutana…!

Baadhi ya wanachama waliokuwa wanafunzi wa Shule ya Msingi Ukonga  wakipiga picha ya pamoja walipokutana  kwa mara ya kwanza kwenye Kiota cha Jungle njiapanda ya Segerea baada ya miaka 10 ambapo walijadili masuala mbalimbali zikiwemo changamoto za kimaisha zinazowakabili na kubadilishana mawazo ikiwa ni pamoja na kuanzisha mikakati ya kujikwamua kiuchumi lakini pia kufurahi pamoja kwani ni muda mrefu walikuwa …