Fainali Mgombea wa Ukawa Yawadia Leo

NI fainali leo pale vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) vitakapompitisha mgombea wake urais atakayepambanishwa na yule wa CCM, Dk John Magufuli aliyepitishwa Dodoma juzi. Fainali hiyo ndani ya Ukawa inatarajiwa kuhitimisha mvutano uliokuwapo baina ya Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba ambaye tayari amechukua fomu kuwania urais ndani ya umoja huo na mgombea anayetajwa na Chadema, Dk …

CHAUMMA Yapongeza Vyama Vya UKAWA Kuungana!

  Muungano huo kwa mujibu wa CHAUMMA ni harakati za kuwakomboa watanzania kutoka mikononi mwa watu ambao wamejipa haki ya kutawala kwa hila na kila aina ya ulaghai kugeuza kuwa ndiyo ajira yao ya kudumu ili mradi waendelee kushikiria madaraka ya kuongoza nchi bila ya kujali maendeleo ya msingi kwa wananchi. Mwenyekiti CHAUMMA taifa Mh. Hashim Rungwe anavipongeza vyama hivyo …

Ukawa Wafanya ‘Kufuru’ Jangwani, Waikejeli Katiba Inayopendekezwa…!

VYAMA vitatu vikuu vya upinzani vinavyounda kundi la Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) vimefanya mkutano mkubwa jijini Dar es Salaam katika viwanja vya Jangwani huku vikianisha mapungufu yalio katika Katiba Inavyopendekezwa iliyopitishwa na Bunge Maalumu la Katiba hivi karibuni mjini Dodoma. Vyama hivyo vya CUF, CHADEMA, NCCR-Mageuzi pamoja na chama cha NLD viliongozwa na viongozi wao wakuu pamoja na …

Samuel Sitta Awaita Viongozi wa UKAWA Waigizaji

  Na Benedict Liwenga, MAELEZO – Dodoma   MWENYEKITI wa Bunge Maalum la Katiba, Samuel Sitta amewaadaa baadhi ya viongozi wanaojiita UKAWA kwa taarifa yao ya kutaka kumfikisha Mahakama ya Uhalifu wa Kimataifa kwa kuendeleza mchakato huo wa Katiba. Kauli hiyo imetolewa Septemba 12, 2014 mjini Dodoma na Sitta kufuatia baadhi ya viongozi hao, kudai kuwa watampeleka katika mahakama hiyo. …