Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Edward Lowassa akiongozana na aliekuwa Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Shinyanga, Hamis Mngeja wakiwapungia wananchi wa Mji wa Kahama, wakati wakiwasili kwenye Uwanja wa Stendi mpya, Nyasubi, Kahama Mjini Septemba 14, 2015, kulikofanyika Mkutano wa Kampeni za Mgombea huyo. Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama …
Sumaye Ang’oka CCM, Ajiunga na UKAWA
Waziri Mkuu mstaafu, Fredreck Sumaye (kulia), akipeana mkono na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe Dar es Salaam leo mchana, baada ya kujiunga na chama hicho. Anayeshuhudia katikati ni Mgombea urais wa Tanzania kupitia chama hicho, Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa. Sumaye akisisitiza jambo Sumaye (wa tatu kulia), akiwa na viongozi wanaunda Umoja wa Katiba …
UKAWA Wataja Mgawanyiko wa Majimbo na Vyama Vyao
VYAMA vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) vimetangaza mgawanyo wa majimbo 253 kati ya 265 ya ubunge huku 12 yaliyokuwa kwenye mvutano yakibaki kiporo. Katika mgawanyo huo uliotangazwa kwa wanahabari jana, Chadema kimepata majimbo 138, sawa na asilimia 73 ya majimbo yote huku CUF ikichukua 99, NCCR – Mageuzi 14 na NLD matatu. Hiyo ni pamoja na kujumlisha majimbo …
UKAWA Wamtangaza Mgombea Wao, Asema Watashinda Kweupeee…!
UMOJA wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) unaoundwa na ushirikiano wa vyama vya CHADEMA, CUF, NCCR-Mageuzi na NLD hatimaye umefikia mwafana na kumsimamisha mgombea mmoja wa urais na makamu wake kupitia tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA ambaye ataungwa mkono na vyama vyote. Ni aliyekuwa Waziri Mkuu mstaafu, Edward Lowassa na kada wa Chama Cha Mapinduzi aliyetangaza kukihama chama …
UKAWA Wamkaribisha Edward Lowassa Kujiunga, Wapo Tayari Kushirikiana
Na Joachim Mushi, Dar es Salaam UMOJA wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) unaoundwa na vyama vya CHADEMA, CUF, NCCR-Mageuzi na NLD umemwalika rasmi Mbunge wa Monduli CCM na Waziri Mkuu aliyejiuzulu, Edward Lowassa kujiunga na umoja huo ili waweze kuongeza nguvu ya kuing’oa CCM katika Uchaguzi Mkuu utaofanyika Oktoba 2015. Ukawa wametoa mwaliko huo leo jijini Dar es Salaam walipokuwa …
Mgombea Urais Ukawa; Hakijaeleweka
MAMBO yamekuwa mazito. Ndivyo inavyoonekana baada ya vyama vya upinzani vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) kushindwa kutangaza mgombea urais jana badala yake ukatoa ahadi mpya kwamba sasa atatangazwa muda wowote ndani ya siku saba. Kauli hiyo inayoibua maswali mengi imekuja baada ya viongozi wa umoja huo waliofanya vikao hadi usiku jana bila ya viongozi wakuu wa CUF ambao …
- Page 1 of 2
- 1
- 2