Mkurugenzi wa Shirika linalotoa msaada wa kisheria na elimu ya haki za binadamu mkoani Kilimanjaro(KWIECO) akimpokea Balozi wa Finland Tanzania Antila Sinikka aliyefika kwa ajili ya uzinduzi wa kituo cha msaada kwa wahanga wa ukatili wa kijinsia. Watoa ushauri wa shirika linalotoa msaada wa kisheria na elimu ya haki za binadamu mkoani Kilimanjaro (KWIECO) wakiimba wakati wa ufunguzi wa kituo hicho. …
Watendaji wa Serikali Washiriki Semina ya Ukatili wa Kijinsia
MTANDAO wa Jinsia Tanzani TGNP leo umekutanisha baadhi ya watendaji wa Serikali kutoka idara za mahakama, maofisa wa Dawati la Jinsia na Watoto la Jeshi la Polisi pamoja na wanasheria kujadili changamoto ya masuala ya sheria na sera katika kesi za ukatili wa kijinsia. Semina hiyo kwa watendaji wa Serikali pia ilijadili nafasi za watendaji wa Serikali katika kukabiliana na …
Wazazi Kutubagua Watoto wa Kike Kielimu ni Ukatili – Wanafunzi
BAADHI ya wanafunzi wa kike katika Shule ya Msingi Nachitulo Wilayani Newala wamewataka wazazi kuacha tabia ya kuwabagua watoto wa kike kielimu kwani kufanya hivyo ni kumnyanyasa mtoto wa kike kijinsia. Wanafunzi hao walitoa kilio hicho hivi karibuni katika mjadala uliofanyika kwenye shule hiyo uliokuwa ukijadili vitendo vya unyanyasaji wa kijinsia na uelewa wa vitendo hivyo kwa watoto ili kuweza …