Ukatili kwa Mwanafunzi; Waziri Amuadhibu Mkuu Sekondari ya Kutwa Mbeya

Na Frank Shija, MAELEZO. MAMLAKA husika ya nidhamu kwa walimu imeagizwa kumvua madaraka Mwalimu Mkuu wa Shule ya Kutwa ya Sekondari ya Mbeya, Mwl. Magreth Haule kufuatia kutotoa taarifa juu ya tukio la kushambuliwa kwa mwanafunzi Kidato cha tatu Shule hiyo Sebastian Chingulu. Ikizungumza na mwandishi maalum kutoka Idara ya Habari –MAELEZO, Jijini Dar es Salaam ambapo, Waziri wa Nchi …

Waziri Mwigulu Nchemba Awakamata Wachina Walomtesa Kijana Mtanzania Kinyama

          WAZIRI wa Mambo ya Ndani nchini, Mwigulu Nchemba amefuatilia tukio la kijana Mtanzania anayedaiwa kuteswa na raia wa Kichina wamiliki Mgodi wa Nyamhuna uliopo Katoro-Geita, na kuhakikisha waliohusika na tukio hilo la kumtesa kijana wamekamatwa na Jeshi la Polisi kwa ajili ya hatua zaidi za kisheria. Hii haoa ni kauli yake; “Nimefika Mgodi wa Nyamhuna …

EfG Yapunguza Ukatili wa Kijinsia Soko la Temeke…!

 Mfanyabiashara wa matunda katika soko hilo, Isabela Juakali akichangia jambo kwenye mkutano huo.  Mwezeshaji wa Sheria katika soko hilo, Augenia Gwamakombe (kulia), akizungumza katika mkutano huo.  Mfanyabiashara wa Soko hilo, Said, Mbonde (kulia), akizungumzia kupungua kwa ukatili wa Kijinsia katika soko hilo. Wanawake wafanyabiashara katika soko hilo wakiwa kwenye mkutano huo.   Na Dotto Mwaibale   UKATILI wa kijinsia katika Soko la …

Mkuu wa Wilaya Anthony Mavunde Akemea Ukatili kwa Watoto

Mkuu wa Wilaya ya Mpwapwa mkoani Dodoma, Anthony Mavunde akizungumza wakati wa tamasha la kupinga na kukataa vitendo vya kikatili dhidi ya watoto, lililofanyika katika viwanja vya mnara wa Mashujaa Mpwapwa. Mkuu wa Wilaya ya Mpwapwa mkoani Dodoma, Anthony Mavunde (kushoto) akizungumza jambo na Askofu Mkuu wa Kanisa la Anglikana Tanzania, Jacob Erasto Chimeledya wakati wa maadhimisho hayo ya kupinga …

Nafasi ya Vyombo vya Habari Kuzuia Ukatili Dhidi ya Watoto

WIZARA ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto kwa ushirikiano na UNICEF wameandaa warsha ya siku tatu inayohusu nafasi ya vyombo vya habari katika kuzuia ukatili dhidi ya watoto nchini Tanzania. Warsha hiyo inayofanyika mjini Moshi inashirikisha wawakilishi kutoka Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Wawakilishi kutoka Mkoa wa Kilimanjaro, Wawakilishi kutoka wilaya za Hai na Moshi Manispaa, …