Serikali Yakanusha Kuuza Kisiwa cha Shungimbili, Pwani

Na Ismail Ngayonga, MAELEZO-Dodoma SERIKALI imesema kisiwa cha shungimbili kilichopo Wilayani Mafia mkoani Pwani hakijauzwa kwa kampuni ya Zululand ya Afrika Kusini na badala yake kimeingizwa katika uwekezaji kupitia kampuni ya Thanda Tanzania Ltd inayojenga hoteli ya kitalii. Akijibu swali la Mbunge wa Mwanakwerekwe (CCM), Ali Said Khamis, leo Bungeni Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhandisi Ramo Makani alisema …

TMA Yawatahadharisha Wakazi Ukanda wa Pwani

MAMLAKA ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imewataka wakazi wa ukanda wa Pwani kuchukua tahadhari ya uwezekano wa kuvuma upepo mkali utakaoambatana na mawimbi makubwa ambayo huenda yakaleta madhara kwa wakazi hao. Hali hiyo inatarajia kujitokeza kati ya Septemba Mosi, 2014 hadi Septemba 2, 2014. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na TMA kwa vyombo vya habari maeneo ambayo yanatarajiwa kuathiriwa …