Na Ingiahedi Mduma, Abidjan MAWAZIRI wa Fedha wa Nchi za Ukanda wa Afrika wamekutana mjini Abidjan kwa lengo la kujadili masuala anuai ya maendeleo kwa nchi zao. Akizungumza na vyombo vya habari mchana huu DK. Likwelile ambaye amemuwakilisha Waziri wa Fedha na katika Mkutano wa Benki ya Dunia amesema kuwa; āMkurungezi wa Kanda ametoa ripoti ya mwaka, ameelezea ni namna …