Eleuteri Mangi – Maelezo SERIKALI kupitia Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii imepokea msaada wa gari 4 na pikipiki 20 vyenye thamani ya shilingi milioni 261 kutoka Shirika la GLRA la nchini Ujerumani kwa ajili ya kusaidia mapambano ya ugonjwa wa Kifua Kikuu na Ukoma. Mikoa ambayo imenufaika na msaada huo ni pamoja na Tanga, Kigoma, na Mikoa ya …