MWANAMUZIKI Ebrahim Makunja a.k.a Kamanda Ras Makunja kiongozi mwanzilishi wa bendi maarufu Ngoma Africa almaharufu FFU-Ughaibuni ya Ujerumani, juzi alifanya mahojiano na kituo cha TV cha Offener Channel ya Ujerumani. Mwongozaji wa kipindi katika mahojiano hayo, Fischer alimkutanisha msanii huyo pia na wataalam na wadau wa muziki wa kimataifa. Akikaribishwa katika kipindi hicho mwanamuziki Ras Makunja ametajwa kuwa jamii ya …
Adolf Hitler na Uchu wa Kuitawala Dunia…!
KIONGOZI wa Chama cha Kisoshalisti kilichojulikana kama “NAZI” Adolf Hitler (1889-1945) alikuwa mmoja kati ya Madikteta dhalimu na mwenye nguvu kuwahi kutokea katika karne ya 20. Baada ya Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia mbabe huyo aliamka kwa nguvu kupitia Chama hiko cha Wafanyakazi wa Ujerumani na kuchukua udhibiti wa Serikali ya Ujerumani mnamo mwaka 1933. Hitler aliamuru uanzishwaji wa …
Jamhuri ya Muungano wa Ujerumani Washerehekea Miaka 24
Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Ujerumani nchini Tanzania, Egon Kochanke (katikati) na mkewe Wendy Marshall Kochanke wakimkaribisha mfanyabiashara mashuhuli Sir Andy Chande katika tafrija ya kusherehekea Miaka 24 ya Jamhuri ya Muungano wa Ujerumani, iliyofanyika nyumbani kwa Balozi huyo, Kenyatta Drive Oysterbay jijini Dar es salaam mwishoni mwa wiki. Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Ujerumani nchini Tanzania, Egon Kochanke (kulia) na akikaribisha …
Bondia Maarufu wa Kike Kuzichapa Septemba 26 Ujerumani
BONDIA maarufu wa kike Mwafrika barani Ulaya, Bintou Yawa Schmill a.k.a “The Voice” anatarajiwa kupanda ulingoni Septemba 26, 2014 kupambana na bondia Mirjana Vujic katika ukumbi wa Stadthalle/ Saalbau Frankfurt-Nied, Mjini Frankfurt ujerumani. Bintou Yawa Schmill “The Voice” mzaliwa wa Togo ambaye anapigania uzito wa Welterweight – 64, urefu mita 1.71 historia yake alikuwa bondia wa ngumi za ridhaa kwa muda miaka mitano, kuanzia mwaka …
Ukweli wa Vurugu ‘Show’ ya Diamond Ujerumani…!
UKWELI wa show ya mwanamuziki nyota wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz kuvurugika na msanii huyo kunusurika kula kichapo mjini Stuttgart Ujerumani umewekwa wazi na muandaaji wa onesho hilo, Awin Williams Akpomiemie raia wa Nigeria. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Williams Akpomiemie ambaye ni mmiliki wa kampuni ya Britts inayofanya kazi zake mjini Stuttgart Ujerumani amesema kuvurugika show hiyo kulisababishwa …
Ujerumani Kusaidia Silaha Iraq, Marekani Waombwa Silaha
UJERUMANI inatarajia kupeleka silaha kwenye Jeshi la Wakurd wa Iraq zikiwemo bunduki na silaha nzito zinazoweza kutumika kushambulia kwenye vita kukabiliana na mashambulizi ya vifaru vya kivita. Jeshi hilo limekuwa likipambana na wapiganaji wa Kiislamu kaskazini mwa Iraq. Waziri wa Ulinzi wa Ujerumani, Ursula Von der Leyen alisema silaha hizo zinauwezo wa kutumiwa na wanajeshi wapatao elfu nne ifikapo mwishoni …