Waafrika Wakutana Ujerumani Kuchangia na Kuombea Amani Senegali

Tokea mwaka 1982, serikali ya Senegali imekuwa ikipambana na Kundi la Movement of Democratic Forces of Casamance (MFDC), ambalo linapigania haki ya eneo la Casamance kujitenga, baada ya serikali kuu kushindwa kuzisimamia rasilimali za eneo hilo kwa usawa. Hizi ni harakati ambazo zimeshapoteza maisha ya Wasenegali wengi, na kwa bahati nzuri makubaliano ya kusitisha mapigano (Unilateral Ceasefire) yalifikiwa Mei 1, …

Serikali ya Ujerumani Yaisaidia Tanzania Bilioni 39

Na Jenikisa Ndile – MAELEZO Serikali ya Tanzania na Ujerumani zimetiliana saini mikataba miwili ya misaada yenye thamani ya jumla ya Sh. Bilioni 39. 1 ambazo ni sawa na Euro milioni 17 kusaidia sekta mbalimbali nchini. Makubaliano hayo yamesainiwa leo jijini Dar es salaam kati ya Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Dkt. Servacius Likwelile kwa niaba ya Serikali ya Tanzania …

Watanzania Ughaibuni Watakiwa Kuwekeza Kwenye Afya Tanzania

WAZIRI wa Afya na Ustawi wa Jamii wa Tanzania, Seif Rashid na Waziri wa Afya wa Zanzibar, Rashid Seif Suleiman, Januari 25, 2015 walikutana na kuzungumza na na baadhi ya Watanzania waishio nchini Ujerumani. Mkutano huo ulifanyika katika Hoteli ya Martim mjini Berlin, ambapo mawaziri hao kwa pamoja wakiwa na Balozi wa Tanzania nchini Ujerumani, Philip Malmo walitumia fursha kuzungumza masuala mbalimbali. …