SERIKALI imetiliana saini ya makubaliano ya ujenzi wa sehemu ya kipande cha reli ya kisasa (Standard Gauge), chenye urefu wa KM 300 kati ya mkoa wa Dar es Salaam na Morogoro ambao ujenzi wake unatarajiwa kuanza baada ya mwezi mmoja na nusu kutoka sasa. Kampuni zilizotiliana saini makubaliano hayo na Serikali ni ya ubia kati ya YAPI MERKEZI ya …
Waziri Mbarawa Awapa Siku Tatu Viongozi Ukarabati Reli ya Kati
WAZIRI wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Makame Mbarawa amewataka watendaji wa Shirika la Reli nchini (TRL) na Kampuni Hodhi ya Mali za Reli (RAHCO) kuhakikisha sehemu ya reli iliyosombwa na mafuriko wilayani Kilosa mkoani Morogoro inaunganishwa ndani ya siku tatu na huduma kurejea. Prof. Mbarawa amesema hayo baada ya kukagua sehemu ya reli hiyo kutoka Kilosa hadi Magulu- Kidete …
Jibu Lingine Latumbuliwa RAHCO, Mkurugenzi Asimamishwa
RAIS wa Jamhuri ya Jamhuri wa Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli amemsimamisha kazi Mkurugenzi Mkuu wa kampuni hodhi ya rasilimali za reli Tanzania (RAHCO) Mhandisi Benhadard Tito ili kupisha uchunguzi wa kina kufuatia ukiukwaji mkubwa wa taratibu za manunuzi uliobainika katika mchakato wa utoaji wa zabuni ya ujenzi wa reli ya kati. Akitoa taarifa kwa vyombo vya habari, …