CIP Trust Yatumia Mil 16 Ujenzi wa Madarasa, Ofisi Shule ya Kata

Na Nathaniel Limu, Singida SHIRIKA lisilo la kiserikali la Community Initiatives Promotion Trust Fund (CIP Trust), limetumia zaidi ya shilingi 16 milioni, kugharamia ujenzi wa vyumba viwili vya madarasa na ofisi moja ya walimu, katika shule ya msingi Kinyamwenda kata ya Itaja. Hayo yamesemwa na mkurugenzi wa shirika la CIP Trust, Affesso Ogenga, wakati akitoa taarifa ya ujenzi  huo kwenye …

Serikali Yaanza Ujenzi Nyumba za Wanajeshi

Frank Mvungi, Maelezo SERIKALI imeanza kutekeleza mradi wa ujenzi wa nyumba 10,000 kwa ajili ya makazi ya wanajeshi kote nchini. Hayo yamesemwa na Msemaji wa Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Meja Josephat Musira wakati wa ziara ya waandishi wa habari walipotembelea eneo la Gongo la mboto jijini Dar es Salaam ambapo sehemu ya mradi huo inatekelezwa. “Lengo la …