Wachina na Kampeni Kupambana na Ujangili wa Wanyama

Balozi wa China nchini Tanzania, Dk. Lu Youqing (katikati), akihutubia wakati akizindua kampeni ya kupambana na ujangili viwanja vya Leaders Club Dar es Salaam leo asubuhi. Kampeni hiyo imeanzishwa na watu wa China kwa ajili ya kuunga jitihada za watanzania katika mapambano hayo ya kuwalinda wanyama dhidi ya ujangili hasa tembo. Balozi wa China nchini Tanzania, Dk. Lu Youqing (kulia), …