Maadhimisho Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Maeneo Anuai

  Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akipitia ratiba ya hafla ya Kongomano la Maadhimisho ya Siku ya Uhuru wqa Vyombo Vya Habari Duniani yaliofanyika katika Ukumbi wa Chuo cha Habari Kilimani Zanzibar. Mc wa Kongamano la Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani Ndg Suleiman Seif akitowa maelezo la kongamano hilo la kuadhimisha …

RC Mongella Afunga Maadhimisho Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari

Mongella amewasisitizia wanahabari kujikita zaidi katika weledi kwenye utendaji wao wa kazi ili kuondokana na migogoro inayoweza kujitokeza wakati wakitimiza majukumu yao. Amewahimiza zaidi waandishi wa habari kujikita kwenye habari za uchunguzi na utafiti wa kina katika habazi zao huku akihimiza zaidi ushirikiano. Kamanda wa polisi mkoani Mwanza, Ahmed Msangi (kushoto) akifuatilia maadhimisho hayo. Kulia ni Mwenyekiti wa Taasisi ya Vyombo …

Umoja wa Ulaya, UN; Tutapigania Uhuru wa Habari Siku Zote

Na Joachim Mushi, Morogoro UMOJA wa Nchi za Ulaya nchini Tanzania (EU) umepinga vikali vitendo vya kikatili na unyanyasaji wameokuwa wakifanyiwa na vyombo vya dola vya Serikali wanapokuwa wakitekeleza majukumu yao ambapo ilitokea mwanahabari mmoja kuuwawa. Alisema hawatachoka kukemea matukio hayo ya unyanyasaji kwani yanafifisha uhuru wa habari. Akizungumza leo mjini Morogoro katika Maadhimisho ya Uhuru wa Vyombo vya Habari …

Rais Kikwete ‘Ajivunia’ Uhuru wa Habari Tanzania Mkutanoni

Na Mwandishi Maalum, New York TANZANIA inatarajiwa kupata sheria ya Uhuru wa kupata Habari ifikapo Mwezi Februari, Mwaka 2015. Rais Jakaya Kikwete amesema hayo Septemba 24, 2014 jijini New York alipokuwa mmoja wa wazungumzaji katika mkutano unaohusu Uwazi na ushirikiano kati ya serikali na jamii (Open Government Partnership-OGP). Rais Kikwete amesema, rasimu ya muswaada wa Uhuru wa kupata Habari uko …