Mwandishi wa Habari Uhuru Kugombea Ubunge

Na Fredy Mgunda, Iringa MJUMBE wa Mkutano Mkuu wa CCM Taifa, Frank Kibiki, ametangaza nia ya kuwania Ubunge wa Jimbo la Iringa mjini, kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM). Akizungumza na waandishi wa Habari leo  ofisini kwake, Kibiki amesema ni wakati wa vijana kushika hatamu kwa kuwania nafasi mbalimbali, ndani ya CCM na hatimaye kwenye umma wa watanzania. Kibiki ambaye ni …