Uhamiaji Sports Club Yaifungisha Virago Ikulu SC

Na Happiness Shayo – Morogoro TIMU ya soka ya Uhamiaji imeweka historia katika michezo ya SHIMIWI baada ya kuifunga timu ya soka ya Ikulu bao moja kwa bila katika mchezo wa mtoano uliofanyika viwanja vya Morogoro Sec. mjini Morogoro na hivyo kuitoa timu hiyo ya Ikulu katika mashindano ya SHIMIWI. Mchezo huo wa aina yake uliochezwa kwa vipindi viwili vya …