Wahimizwa Kujitokeza Kupima Ugonjwa wa Kisukari

Na Beatrice Lyimo – Maelezo SERIKALI imetoa wito kwa kila mwananchi nchini kuhakikisha kwamba anapima afya yake mara kwa mara kwa kuwa ugonjwa wa kisukari unaweza usionyeshe dalili yoyote mapema ili kuweza kukabiliana na kupunguza athari za ugonjwa huo. Aidha Serikali imesisitiza kuwa endapo mtu atatambulika kuwa ana ugonjwa huo, atumie huduma za afya kulingana na ushauri wa atakaopewa na wataalam wa …